Mtaalam wa engine za D4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalam wa engine za D4

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Obhusegwe, Jan 5, 2010.

 1. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine.

  Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za engine, anikontact kwa PM nimpe dili la kazi, atapata wateja wengi kwani hizi engine zipo kibao siku hizi, kuanzia premio, vista mpaka hilux nazo zinakuja na engine za d4.

  Pls contact me kuna ulaji, wengi hawajastukia.

  cheers
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Mkkuuu
  angalizo ;akuna wataalam wa engine za d4 kaka
  wenye kutengeneza wametoa na email
  wamekosea kutengeneza hizo engine wamekubali na malalamiko
  na ikafika wanadai wazirudishe japana;we wa mbagala na japan wapi na wapi.....utakutana na matapeli wengi mie yangu ilikuwa na gundu hivyo hivyo siui fundi gani nilimwacha;nikaishia kuitoa na kuuza spare;
  cha kukusaidia washauri wa replace na engine ya rav4 3s,ama 3s ya corola,else jiandaee kukamuliwa vilivyo
   
 3. M

  Mubii Senior Member

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Rafiki yangu anayefanya biashara ya kuagiza magari kutoka Japan nilimuuliza kuhusu hizi injini za D4. Aliniambia tatizo ni kwamba mafundi wa hapa hawajozea injini ya aina hiyo ambayo alisema ni ya kisasa, yaani tatizo ni elimu ya mafundi wetu kukabiliana na injini za kisasa.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  mkuu tatizo si la kisasa wala!!!
  kuna karatsi nililetewa kutoka kwenye website za japan za magari ntajaribu kuulizia mwezi mmoja uliopita kaka,wakiomba samahani kwa engine za d4
  hapo tatizo aliwezi kuwa la mafundi lao wenyewe
   
 5. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  D4 engines are same as GDi engines in mitsubishi,they are modern,i do not expect mechanics wa bongo waweze kutengeneza haya magari,wakati hata kufanya computer diagnostics kwao ni technolojia mpya na ya ajabu!

  ushauri kwa hawa mafundi,Japanese car makers will not stop producing modern engines because a lazy mechanic in TZ will not learn to fix engines.sooner or later all cars will be directly injected cars with turbo's.Mercedes 2010 entire lineup is Turbocharged.ofcuz it will take Toyota 10 yeas to do that,and 5 more years for that wave to finally hit Tanzania.
  advice to mechanics(i doubt if most of them are even reading this).go back to school,learn.dont complain all he time.No engine that comes out of a Toyota Factory is that BAD.those same D4 engines you are raving about have won multiple awards for reliability and performance.

  in the world no one judges a car by how easy it is to fix!rather how good it is to maintain,its fuel efficiency,durability etc.

  mkichelewa mtashangaa mechanics wote wametoka CHINA,wakitengeneza magari kama vile wanavyowa-replace wamachinga kariakoo.
   
 6. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  Hizi inaonekana kama fact za ukweli
   
 7. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ina maana solution ya engine za d4 ni kuzibadili? Sioni kama naweza kukuamini mkuu, mbona kuna gari mingi tu inazidi kuja na hizo engine? si wangekuwa wameacha kutengeneza?
   
 8. g

  geek Member

  #8
  Jan 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtafute fundi Arnold, yupo Namanga nyuma ya Best Bite - atakupa solutions kwa magari ya kila aina. Tembelea website yake Berks Auto Shop upate contacts na maelezo mengine.
   
Loading...