Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Heri ya mwaka mpya wakuu wote, Ninaomba kama kuna mtu anaishi, fanya kazi au biashara nchini malaysia ani PM tafadhali sana. Natarajia kusikia kutoka kwenu. Asante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa kama mwana-member, ninapenda kuwatakia wote mafanikio mema katika mwaka huu unaoanza, mwaka 2009. Ninaamini mwaka unaoisha una mafanikio na hasara pia, all in all "May The Year 2009 Bring...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello Bi Mkubwa, Your Birthday makes this day all more special and beautiful. Wishing you another year of good health, happiness and prosperity. HAPPY BIRTHDAY Bi Mkubwa!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SALAAM ZA MWAKA MPYA Uongozi na wafanyakazi wa MwanaHALISI, hata ndani ya kifungo cha siku 90 cha gazeti hili, tunayo furaha kukutakia heri katika sherehe za msimu huu zinazoambatana na kuaga...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
  • Closed
Nilishazowea ile skin ya Krismas, and now I think I am missing it.!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na wanausalama wa Tanzania wowote aliye Malaysia naomba Contacts zake au unaweza kuwasiliana kwa +255716 494151 Msaada wa haraka sana unahitakija Ahsante
0 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Closed
Mbunge wa zamani wa CCM jimbo la Mbozi Mashariki Edson Halinga(68) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne. Marehemu aliyekuwa akiishi mtaa wa Vilolo mjini Viwawa Mbozi alifariki dunia kutokana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1.Nasreem(Miss TZ 2008) 2.Richa(Miss 2007) Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi. Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Dear all, hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya...
0 Reactions
71 Replies
13K Views
  • Closed
wadau naomba yeyote mwenye audio speeches za mwalimu aniambie zinapatikana wapie au kama unazo naomba nipatie tafadhali.waweza wasiliana nami hapa eddferd@yahoo.com
0 Reactions
3 Replies
9K Views
wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa ndugu yetu Harry makange mtangazaji yule wa Channel ten amepata ajali mbaya ya pikipiki alikuwa anatoka nyumbani kwake asubuhi kule Kibaha akielekea...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
  • Closed
God is Love Christmas is all about love Christmas is thus about God and Love Love is the key to peace among all mankind Love is the key to peace and happiness within all creation Love needs...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tigo wamepunguza mzigo kwa wananchi kwenye ghalama za matumizi ya simu.nadhani tungejiunga na tigo na kususia mitandao kama vodacom mitandao inayo nyonyapesa mpaka na wao wapunguze gharama zao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za Mchana wajameni... Naomba msaada wenu kwa mtu ambaye anaweza nipatia link ambayo ntaweza download kitabu hiki. Ni masuala ya kufa na kupona. Nigel Slack - Operations Management...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Invisible na wakuu wengine naomba mnisaidie nawezaje kuzipata na forums nyingine kama jf Dr,jukwaa la lugha,science,technology nk manake kwangu hazipo. asanteni wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Here is some treat for the sky watchers, as today, the 12th December, the world will witness the brightest full moon ever. The moon to appear today is about 30 percent brighter and 14 percent...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Happy birthday Dr. Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka Hugs buddy
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…