Magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Mar 28, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ikiwa unahitaji kununua gai lililotumika Tanzania kwa bei nzuri. Wasiliana nasi kupitia 0717114409 au 0755312233 au email. kitomai.1stchoice@gmail.com
   
 2. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Mkubwa Kiktomai,
  Tumekupata. Je hapo Dar una yadi? Kama unayo ipo sehemu gani?
   
 3. D

  Dickie Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitakucheki
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Mzee haya magari yuzidi kwa dsm una maana gani? kati ya hizi hapa chini
  1:- magari yalokwisha tumika ndani ya dsm nikiwa na maana ni used cars of the used ones?
  2:-magari used toka japan/dubai/Zanzibar au hata ulaya ila sio used hapa dsm?

  kama upo kipengele cha pili...nahitaji prado landcruiser 5 doors model ya 2001 and above ila iwe na mailage less than 75,000km...weka offer yako hapa na wapi naweza kuiona ... unakaribishwa kuni-pm...SAWA MZEE..
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwi kwi kwi Kitomai jibu maswali unaingia mitini?
   
Loading...