Apartment/Nyumba inatafutwa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Apartment/Nyumba inatafutwa Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tindikali, Mar 26, 2010.

 1. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Wakubwa,

  Natafuta apartment
  ya viwango au nyumba ya kupanga iliyo bora.

  Maeneo ya Manispaa ya Arusha Mjini

  Vyumba viwili vya kulala.

  Iwe na sehemu ya kuegesha gari.

  Ikiwa u dalali tafadhali jiandae kunitembeza sehemu kama tano hivi.

  Tafadhali niandikie private message.
   
 2. Glucky

  Glucky Senior Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hi mkubwa
  kuna nyuma ipo mitaa ya TEngeru 11km from arusha town
  ina vyumba vinnne vya kulala (two masterbedroom na two normal room) jiko la kisasa
  side house carparking na ukuta.
  fee per month 500USd
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  umemuelewa lakini?
   
 4. Glucky

  Glucky Senior Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ni CHOICE YAKE
   
 5. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Ahsante Mkuu,

  Ila Tengeru naona itakuwa mbali kidogo na Manispaa ya Arusha Mjini kwa mahitaji yangu. Hata hivyo nashukuru sana.
   
Loading...