Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
 
Pole sana mkuu. Mungu akujaliie nguvu katika wakti huu mgumu.
RIP Mama
 
pole sana ndugu yangu, hiyo ni kazi ya Mungu, usife moyo kwa kuondokewa na kiungo chako kimoja kati ya viwili, hata hivyo Mungu akutie nguvu wakati huu wa majonzi
 
tete 'a' tete pole sana
ulimpenda mama yako lakini Mungu alimpenda zaidi, basi jina la Bwana libalikiwe sana
 
Pole sana mkuu,tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu kwako na familia yako...Mungu akutie wewe na wengine wote nguvu...Tunamuombea mama apumzike kwa Amani...Amina
 
Pole sana ndugu yangu. Usafiri na amani ya bwana. Mungu akupe malaika wake walinzi wakulinde hata ukafike salama na kurudi salama. Ni mapenzi ya mungu hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo. Apumzike kwa amani. Amen.
 
Pole kwa kuondokewa na mama.

Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipiindi hiki,
Mama amemaliza kazi yake ya duniani, nasi kila
mmoja tujiandae kwa unyakulio wetu.
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556


Pole sana Tete, wakati huu mgumu kwa familia nakuombea faraja wewe na familia nzima. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Amina.
 
.......Pole sana tetea tete, Mungu akupe nguvu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimidiwe.
RIP mama.
 
pole sana na msiba mwanajamii!mungu akutangulie kwa safari tafadhari mkiona madereva wanakimbiza waambieni sio kungoja mpaka ajali itokee!moshi ni mbali na barabara hiyo mabasi yanakimbia sana na ni mengi so tcare!
 
Pole sana tete a tete.
Mungu akubariki ufike salama tayari kwa safari ya MAMA.
Mungu akupe wewe pamoja na familia yote nguvu na ujasiri ktk kipindi hiki.
Roha ya MAMA ipumzike kwa Amani.
 
Back
Top Bottom