Hi wanajamii!
Nauza gari yangu TOYOTA SPRINTER, ipo kwenye hali nzuri inafaa kwa biashara ya Taxi.Mwenye uhitaji anitafute kwa simu no.0714099916 documents zote zipo bei maelewano.
Hello!
Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako kumiliki...
I am selling an HTC Sensation in excellent condition. Used 3 months with the following specs:
4.3ins S-LCD screen with Gorilla Glass.
1.2 GHz dual processor.
1GB internal storage.
Android 2.3.4...
Mpendwa msomaji,
Kitabu cha "MAJERUHI WA MAPENZI" tayari kimeshachapwa - japo kimechelewa kuliko tulivyotarajia - na sasa tunaanza kuprocess orders za watu mbalimbali. Ikumbukwe kuwa lengo...
KUNA SHAMBA LA EKARI TATU LIPO CHANIKA KARIBU NA BARABARA BEI INAANZIA 15MILIONI PIA KUNA MAELEWANO
MAWASILIANO
0714812375
0784562131
email joseengowi@gmail.com
joseengowi@ymail.com
ya Mwaka 1997
cc 2000
145000kms
Dar es Salaam
Turbo
Muffler ya mashindano
17" OZ Racing Rim
Matairi yenye vipimo vya 215/45 low profile
BEI 8M.
nipigie/sms/beep 0759123683/0655123683
Picha...
Kiwanja kinauzwa Mabwe pande kina michungwa, minazi mitatu. bei ni milioni 9 tu.
Hakina dalali, kama unahitaji tafadhari nipigie simu 0782555519.
Ahsante.
Eneo la sqm 800 linauzwa maeneo ya Kiromo shule karibu na barabara ya kwenda bagamoyo mita 250 hivi, maji na umeme upo/yapo mita 10 toka kwenye kiwanja hakina matatizo ya umiliki hakina hati...
Wadau Naomba Msaada Wenu kwa Hili: Required,10 donkeys (castrated male or female) of 3-4 years old. Must be healthy & standard type of donkeys.
Documents like certificate of origin...
Mambo vipi wana JF?
Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998, Engine capacity ni CC 1984
Odometer ni km 160,000
Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.
Inauzwa...