Kiwanja kinauzwa Tegeta

Kiwanja kinauzwa Tegeta

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
2,094
Reaction score
1,376
Nauza kiwanja changu mwenyewe kipo tegeta kwa Makamba kinafikika kwa urahisi ,hakina hati but kina offer.bei kuanzia 15m pungufu unaongea...ni pm kwa maelezo zaidi.
 
una hakika hakina tatizo lolote? je 10 Twaweza fanya biashara?
 
size ni nusu eka..hakina tatizo lolote ni changu mwenyewe..10 tunaongea mkuu...kinafikika kwa urahisi..maji yapo...barabara nzuri....ni pm kama unataka kukiona.
 
size ni nusu eka..hakina tatizo lolote ni changu mwenyewe..10 tunaongea mkuu...kinafikika kwa urahisi..maji yapo...barabara nzuri....ni pm kama unataka kukiona.
Ushauza mkuu?

Kimepimwa? Kina hati?
 
hakijapimwa mkuu..ndo nakishughulikia offer but ni process ndefu mie niko nje ya nchi..ndo maana nimeamua nikiuze tuu for now...bado cjauza kiongozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom