Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kitanda Godoro Jiko la gesi na mtungi Kiti Cha plastic Vyombo Neti Mapazia Kifaa Cha kuwekea vyombo Mabesi mawili ya nguo Jumla vyote = 400000tsh Number:255 675 124 851
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi.. Tutaandikishiana na dhamana zipo. Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Locationa: Dar es Salaam, Makuburi. Size ya kitanda: 5*6
1 Reactions
15 Replies
927 Views
Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
JE, UNATAFUTA BIDHAA ORIGINAL DAR? ANISUMA TRADERS NDIO SOLUTION YAKO SONY, HITACHI, PHILIPS, MOULINEX, TEFAL, VENUS, JBL, ELECTROLUX, ARISTON PIGA NO:0684 885 888 Tupo Mlimani City Mall DSM...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Karibuni pyramid works tuwafanyie metal works nzuri sana na zenye ubora wa hali ya juu. Tuna design na kutengeneza wenyewe na mteja anapata kazi yake kwa wakati. Tunapatikana Dar es salaam kwa...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Pata karatasi Mondi no 1 kwa shilingi 36,500/= Bahasha za Manila A4 1000pc@ 66,000/= Daftari pia zipo. Vitu vyote vipo kwa bei nzuri sana Namba zetu ni 0711972446 Karibuni sana TUNAPATIKANA...
4 Reactions
93 Replies
53K Views
Kwa Kazi nzuri za Aluminium tuwasiliane maboss zangu tuko mbezi, mikoani tunafika pia support yako muhimu Sana kwetu kwa mawasiliano zaid tuwasiliane kwa namba 0653467162
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Tanzania Psychological Association(TAPA) ni shirika lisilo la faida (non-Profit Organization) ambalo lina dhamira ya kukuza na kusaidia mafunzo na huduma za kisaikolojia nchini Tanzania. Chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi: nahitaji ukumbi wa harusi usiozidi milioni mbili mwezi wa kumi, maeneo ya makumbusho, dar. Isiqe mwenge au mbezi beach au sinza, iwe exactly makumbusho. Anayejua kumbi maeneo...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Shamba linauzwa lipo Mkoa wa Pwani wilaya ya BAGAMOYO, Shamba lipo barabara ya MLANDIZI BAGAMOYO kijiji kinaitwa Sunguvuni limepakana na ukuta wa kiwanda kipya cha HILL WATER.,shamba linafaa kwa...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Nahitaj frame kwaajili ya cosmetics isizid 300,000 itapendez ikiw chin ya apo maeneo ya Makumbusho/ Sinza/ Magomeni kiufupi sehem ilochangamka hapa Dar
1 Reactions
8 Replies
746 Views
Nauza used Samsung TV ya inch 50. Specs za TV ni: Model: MU7000 50” Smart 4K UHD TV Two USB ports 3 HDMI ports Bei 850,000. For more info karibu PM
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Apple Laptop MacBook Pro Retina Display Inauzwa 13 inch Processor 2.7 GHZ Dual Core Intel Core i5 RAM 8GB 1867 MHZ DDR3 Graphics Intel Iris Graphics 6100 1536 MB. Mbezi, Dar es Salaam Bei...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji karanga kavu zenye maganda. Nipo Dar. Kwa mwenye nazo au mwenye kujuana na mwenye nazo popote alipo ani PM
0 Reactions
5 Replies
785 Views
Jamani natafuta maduka yanayoweza kuuza ingredients za kutengeneza wine. Kwa kifupi kuna ingredient naitafuta inaitwa CAMPDEN. Nimeshasumbua kichwa kutafuta mpaka nimechoka. Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
🌳 PLOT FOR SALE IN CHAMAZI REAL-ESTATE _________________________________ #Mladi mpya wa viwanja uliopo chamazi mbande Kilometer 1.5 kutoka uwanja wa mpira wa azam ( AZAMCOMPLEX) . 🌳 Mladi wenye...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom