Gang Chomba anaanza kwa salam...
wakuu kwema?
Kama kuna mtu anayeweza kurahisisha kwa upatikanaji Samaki aina ya Prons naomba anijuze kwa Inbox then tuweze fanya Biashara, niko Dar.
Jieleze...
Nipo Dar, natafuta kozi ya muda mfupi ya web design and management. Hiyo kozi iwe inatolewa jioni baada ya muda wa kazi. Pia itakuwa vizuri endapo eneo la kufundishia linakuwa ni posta, maana...
Kwa mtu yoyote anayehitaji kununua almasi tuwasiliane Mzigo upo wa kutosha, kwa mnunuzi tuwasiliane 0778 918 245 kama hufahamu lolote kuhusu hii biashara pls pita kimya . tunatafuta a serious...
Simgas Tanzania Limited ni wauzaji na watengenezaji wa mitambo ya gesi inayotumia mabaki na taka za vyakula. Mitambo hiyo ina muonekano kama wa simtank wa lita 2000 ambao utakaa nje ya nyumba...
Toyota Corolla EG 1 inauzwa,bei mil 4.5 za Tanzania......iko Dar es salaam na kwa sasa inatumika kwa matumiz binafsi na imetembea Kilometer 91898.Unaruhusiwa kuja na fundi wako kuiona...
Contact...
kiwacha cha heka moja, kipo kibaha kwa mathias upande wa kulia kama unatoka morogoro, barabara inafika kwa sababu ndo njia ambayo magari ya mchanga yanapita, bei ni shilingi million 4.5, siitaji...
simu aina ya nokia asha 200 inauzwa kwa bei ya tsh.130,000/= maelewano yapo,simu ni mpya kabisa mie niko dar es salaam, kwa anayehitaji anipigie 0715404808
We are doing a low cost housing project,We need to buy a tanker of creosote.
Please can you kindly assist me as to where we can source creosote in Tanzania.
PM me if you know any supplier in...
Habari wakuu, kama kuna mtu anahitaji kuinvest in real estate kwa mwanza kuna plot ipo kati kati ya jiji la mwanza na inafaa kwa matumizi ya hotel,commercial propery/offices/shopping mall,,ni ya...
Ndg wana JF napenda kuwatangazia kuwa nimefungua duka la cosmetics mitaa ya tabata changombe karibu na stend ya bajaji nyuma ya studio ya picha ulizia MUSSA no 0712 85 66...
Wakuu habari zenu:
Nina wazo la kununua printer ya HP inayotumia hii technology ya CISS (Continuous ink supply system). Nilivutika na hii technology kutkana na nilivyoifikiri kuwa ni ya gharama...