Jamaa ana hama kikazi anauza vitu vya ndani vyote na kwenda sehemu yake ya kazi mkoani. Zimebakia sofa kama zinavyoonekana hapo. Bei ni 900,000/- ila tunaweza ongea. 0713401812
habari wanandugu,
PC ni windows 7 ultimate with
hdd; 150gb
Processor: AMD dual core mobile RM 7 2G.Hz
system type; 32 bit OS
Display: 15.4 inch,
Weight: 2.5kg
ram;2 gb
TIME; 1;30 hrs without...
Nyumba kubwa ya vyumba vitatu na choo/bafu pamoja na dinning,living na kitchen inauzwa. pia nyumba ina eneo kubwa la wazi la linalotosha kujenga nyumba nyingine kubwa.
nyumba ipo Kimara - mwisho...
nadesign logo,posters za matangazo aina zote,dvd cover aina zote,picha na mambo yote yahusuyo graphics
ukitaka hudumu mojawapo hapo,tuwasiliane.0762052850
chin ni baadhi ya kaz zangu chache
Nauza Toyota Noah Model E-SR40G ya Mwaka 2001. Rangi Blue/Silver yenye 1990cc Two Axles Tare weight 1440.
Mileage About 100,825km
Price: $8,500
Serious buyers: Call 0762 770 750
Nahitaji chumba na sebule kwa ajili ya kupanga, nyumba iwe katika hali nzuri. Maeneo ni kati ya haya mwenge, sinza afrika sana karibu na kona bar (iwe rahisi kujitupia yale mambo yetu nyakati za...
Wakuu salamu ziwafikie.
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia mitaa ya mwenge hadi tegeta yenye bei za 'kawaida' zinazolipika kwa wafanyakazi wa kawaida. Iwe sehemu salama na inayofikika kirahisi...
HELLOW
DAIHATSU MIRA 2003 ,GOOD CONDITION.AC,RIGHT HAND,AUTOMATIC,NO DAMAGE ,EXELLENT CONDITION
100 PERCENT NO ANY PROBLEMS, VERY VERY CHEAP,JUS AROUND 5.3MILLIONS AMAZING PRICE.
Contact...
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta nokia c5-00 5MP iwe mpya; pia kama kuna used fresh tu nitaangalia bei yako. kama andika na bei unayoiuza hapa
In February, 2013, I visited one secondary school in spearheading the programme SOMESHA MTOTO MMOJA- A project which aims at identifying deprivedstudents looking for financial support, and linking...
Waungwana,
Ukiviona vitu hivi vinauzwa, NITAFUTE HARAKA SANA! Usiku wa kuamkia Machi 1, 2013, tuliingiliwa na wezi nyumbani, wakatukomba vitu vingi, lakini hivi ndio haswa majembe yetu.
1. Apple...