Nyumba ya kupanga Kuanzia Mwenge hadi Tegeta

Nyumba ya kupanga Kuanzia Mwenge hadi Tegeta

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,931
Reaction score
33,208
Wakuu salamu ziwafikie.

Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia mitaa ya mwenge hadi tegeta yenye bei za 'kawaida' zinazolipika kwa wafanyakazi wa kawaida. Iwe sehemu salama na inayofikika kirahisi.

Mwenye kujua upatikanaji wake tafadhali msaada
 
Nataka sana tu mpendwa, lete mambo basi jamani.....
 
Back
Top Bottom