nahitaji chumba na sebule vya kupanga

nahitaji chumba na sebule vya kupanga

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Nahitaji chumba na sebule kwa ajili ya kupanga, nyumba iwe katika hali nzuri. Maeneo ni kati ya haya mwenge, sinza afrika sana karibu na kona bar (iwe rahisi kujitupia yale mambo yetu nyakati za usiku), Makumbusho, kijitonyama na ubungo naweza nikapafikiria kidogo. Bajeti yangu ni shs. 100000 kwa mwezi, mwenye nyumba awe tayari kupokea miezi 6 or 8. Asanteni
 
Tmk mwisho stendi. Bei ya laki chumba nasebule du hupati sijui huko km utapata
 
me naishi sinza kumekucha nalipa 120000 kwa mwezi chumba and sebule, nyumba ful maji and umeme na parking kubwa ya kukaa magari 3! nina rafiki yangu yupo maeneo ya knyama chumba na sebule analipa 100000, jamaa yangu mwingine yupo ubungo chumba na sebule analipa 100000, Acha upotoshaji mkuu, wewe chadema nini?

Naomba namba ya dalali
 
Acha upumbavu wewe, Chadema inaingiaje hapa? ?
Kama unao hao marafiki wote, why unapost hapa??
 
Back
Top Bottom