Ninauza kiwanja eneo la Pugu. Kimepiwa, kipo nyuma ya makazi ya Waziri Mkuu Pinda. Kina offer. Kina ukubwa wa 45 Kwa 26 sawa na square meter 982. Umeme umefika. Ni mita 190 kutoka barabara ya...
Nahitaji CHEREHANI ya kusukuma kwa miguu (manual), nzima, bora, mpya au iliyotumika. Shilingi ngapi za Kitanzania? Bei inazungumzika?
Inamhusu anayepatikana 'Muheza' au 'Tanga mjini'...
kinaitwa ''IJUE ADARA YA USALAMA WA TAIFA'' By Godwin Chilewa. kama kuna mtu anajua kinapatikana wapi anisaidie, nimeshindwa kununua soft copy yake kupitia Amazon. pia kama kuna anaeweza kukinunua...
Nahitaji huo waya alokua nao anambie tuongee bei. Najua kuna power cable muundo tofauti lakini mimi nahitaji ule ambao una ncha sita, 3 juu, 3 chini isiwe oval shaped but iwe kama square shaped...
Habari zenu,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja self, kuwe na choo cha wageni, sitting room na jiko, nyumba iwe katika maeneo hayo niliyoyataja,
ahsanten
Ukubwa : Sqm 2,000Eneo: Moga Bunju Beach : Kimepimwa na kina hati , kipo ukanda wa beach Bei : 70mMawasiliano: 0657 145555 na 0772 00 88 66 sisi ni madalali.Pia kuna kiwanja cha sqm...
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii
Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:
1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
1. 200 acres farm well surveyed and serviced in Kibaha Region 6km from the main Road. It is a potential area for cultivation, large scale agriculture and industrial development. All the...
Heshima kwenu wadau,
Ninayo kampuni iliyosajiliwa vema kwa sheria zote za nchi tangu mwaka 2008, na inafanya kazi katika miradi midogo-midogo hususan mikoani (lake zone). Kampuni hii ni...
Wakuu!
Jipatieni Kuku, Asali,bata, Njiwa,Kanga,mayai ya kuku wa kienyeji
Kuku
Hawa ni kuku wa kienyeji wapo wakubwa na saizi ya kati utaletewa popote ulipo ndani ya jiji la Dar es salaam
Asali...