Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5m mazungumzo yapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba 4 inapangishwa maeneo ha Kigurunyembe. Ina vyumba self c 2, jiko, sebule, dining hall, etc. umeme na maji vipo. Bei 200,000 tsh. kwa mwezi x miezi 6. pm kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari moja,lipo maeneo ya bugogwa,mbele ya nyamwilolelwa.halijapimwa. Bei ni tshs milioni moja na laki mbili. Mawasiliano 0765540059,0767301461
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tatafuta laini ya TiGo pesa kwa yeyote anayeuza anijulishe au kwa email luluurassa@gmail.com Thanks !
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wakuu, leo nawaletea I PAD mini 16 GB used (3 months) bei laki 7 tuu... kwa wateja wa arusha, mkoani kama una interest na mzigo unaweza ukatafta kijana wako onbehalf.. utapata na charger...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:A S 39: Game Enthusiast!!!! nna FIFA 2013 for PS3 sokoni, anybody anae hitaji tuwasiliane!
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Wadau anaemfahamu fundi ujenzi anae paka rangi nyumba (kisasa) tafadhari naomba anijulishe
0 Reactions
11 Replies
3K Views
http://www4.autotrader.co.uk/classified/advert/201303125723837/sort/default/usedcars/engine-size-cars/1-7l_to_1-9l/quantity-of-doors/5/maximum-age/up_to_7_years_old/model/grand_vitara/make/suzuki/o...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
a house for sale at a reasonable price!! It is at Mikocheni. Four bedrooms,dining room,2 sitting rooms,big kitchen+ swamming pool and a comfortable car park
0 Reactions
1 Replies
803 Views
SOMESHA MTOTO MMOJA –KINACHOENDELEA. Waliotoa fedha mpakasasa, 1. Mr.J.A .M........60,000 2. Mr. J.L. M....60,000 3. Mr. C. S. M-wa UK................50,000 4.Mr. A...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii truck ni LHD inauzwa MIL 25 za Tanzania mpaka Dar Bandarini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunatengeneza mabango ya kisasa aina zote,tupo Dar es salaam maeneo ya Tegeta.Ingia http://disolni.blogspot.com/ kuangalia baadhi ya kazi tulizowahi kuzifanya & kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza simu HTC wildfire A3333 Addroid system. Full touch screen and HTC SENSE. Bei ni 200,000. Maongezi yapo! Anayehitaji Tuwasiliane kwa namba hizi; 0787577755, 0767577755 na 0717577755. Au ani PM.
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Espitech Engineering Co ni kampuni iliyosajiliwa na kutambulika CRB ambao ni wataalamu wa kusupply na kuinstall vifaa na systems bora za CCTV kwa wenye Maduka, Supermarkets, Shelli, Garage...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kipo Chanika wilaya ya Ilala Dsm, barabara ya Pungu unafika gongo la mboto kisha unapanda gari za chanika . eneo la kiwan ja ni tambalale na kipo umbali wa kilometa 2 toka barabara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii,kunakiwanja kipo kimara mwisho kinauzwa million 75,kipo jirani na morogoro road ni umbali wa dakika tano(5) tu. kinaukubwa wa nusu heka yani 70 kwa 35 pia eneo hilo lina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibahainakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imetumika kidogo Ina trademark ya Google Ina mfumo wa MPGE4 wa kuplay video Ina camera isiyo na frash hivyo unaweza kumchukua mtu bila yeye kujitambua Ina application za kutosha Ni android...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JE UNATAFUTA NYUMBA/VYUMBA VYA KUPANGA SOWETO-MOSHI??? KARIBU KUNA VYUMBA YA KUPANGA NZURI IPO SOWETO, MTAA WA HURUMA KARIBU KABISA NA ST JOSEPH HOSPITAL. NYUMBA INA KILA KITU MAJI, GETI, NA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…