Hello!
Tiles Grade 1 Zenye Ubora wa Hali ya Juu, toka China Zinapatikana Tegeta Salasala kwenye Depot Mpya.
Ni tofauti na hizi za Wachina zilizopo sokoni.
1.Nene zaidi
2.Nzito zaidi...
Pata Universal Modem kwa Tsh.35,000/ hakuna haja ya kusumbuka ku'unlock au kua'limited na Mtandao wowote.
Model yake 3.5G, HSPA.
Speed 7.2Mbps (HSDPA).
Inaslots mbili,...moja kwa'ajili ya line...
Wanajamvi naombeni ushauri kati ya hizi gari aina mbili lakini kampuni moja ya toyota,Nadia na Opa ipi ni bora in terms ya
1.Durability(kudumu)
-Hili tuchukulie katika matumiz ya kawaida na yale...
:A S-heart-2:PIKIPIKI INAUZWA AINA YA SNLG TSHS 1'000,000 IKO BOMBA
0759007560 :yo:
:yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
:frusty::frusty:
Jaman wanaJF mwenzenu nimepata dharura ila nina gari yangu aina ya nissan patrol naiuza kwa bei poa mil 14
ni manual,
green,
engine 42D,
full AC,
CC 4500
inatembea naomben...
Wadau kama kuna mtu anahitaji usafiri wa familia good news to you. Nlinunua gari nikasajiri trh 1/11/2012 kwa namba CEK niko nje ya Africa ila kwa vile nimeona nitachelewa kurudi huko(>2015) si...
vipo viwanja vitatu kama ifuatavyo
sqm 20 kwa 20 bei 5,000,000/
sqm 20 kwa 24 bei 5,500,000/
sqm 24 kwa 26 bei 6,500,000/
viwanjwa vipo mpiji magohe CCM, umbali wa km 9 kutoka morogoro road...
Nina Laki moja (100000) ninataka external disk ya 1TB. Pesa ipo cash bila zengwe. Mwenye nae kwa bei hiyo anitafute niko Dar. Pia Digital camera inahitajia. 0713807758 au mudisungura@gmail.com
Natafuta Housing ya simu aina ya Samsung C6625. Aliyenae au anayejua zinakopatikana basi asisite kunipa taarifa kupitia 0713807758 au mudisungura@gmail.com
poleni kwa majukumu ya kujenga na kubomoa taifa! Nina rafiki yangu amepangiwa kazi maeneo ya mjini/posta ya zamani dar. Yeye si mwenyeji wa hapa dar, hvyo basi ameniomba nimtafutie eneo la kuishi...