nyumba ya kupanga kigamboni

nyumba ya kupanga kigamboni

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
poleni kwa majukumu ya kujenga na kubomoa taifa! Nina rafiki yangu amepangiwa kazi maeneo ya mjini/posta ya zamani dar. Yeye si mwenyeji wa hapa dar, hvyo basi ameniomba nimtafutie eneo la kuishi ambalo litakuwa karibu na lenye usafiri ambao hautamgarimu hususani katika muda.
Baada ya kupata hayo maelezo yake nikachanganya kichwani nikagundua eneo pekee ambalo halitamweka kwenye foleni akienda kazini ni kigamboni.
Mimi si dalali na sina uzoefu wa maeneo hayo, hivyo basi napenda kuleta hoja ya huyu mheshimiwa humu jamvini.
Anahtaji vyumba viwili masters, ofa yake ni 100k na uwezo wa kulipa ni miezi sita sita.
Nawasilisha hoja, naomba majibu yawekwe hapa hapa jamvini kwa wajuvi
 
100k ndo currency au? sijakuelewa hapo, au kenya shilingi? kama ni hiyo mbona itakuwa ndogo sana maana ukiibadili inakuwa kama 100x19=1,900
 
Kigambon mkuu? niko huku umeme wa shida balaa na kwenye pantoni kuvuka tu saa nzima duh.... hukusikia na roba zile mwisho wa kutembea saa moja zaid ya hapo robber zinamuhusu
 
Nilpapenda sana kigamboni ila wezi na vibaka wako sana. Ndugu yangu aliumizwa vibaya sana Mungu akamnusuru.
 
Back
Top Bottom