frem ya biashara inatafuta hata kama sio kubwa yaani kama nyembamba sana isio mbaya kwa ajiri ya biashara ya tigo pesa kama unayo usisite kuwasiliana nami wappolinary@yahoo.com au ni pm hapa jf...
Nyumba inatafutwa Nyegezi, Mwanza au maeneo ya karibu. Vyumba angalau viwili (master) yenye fensi (au flat) maeneo yenye usalama.
Mwenye nayo ni PM namba zako.
Wadau ,
Nina product(s) mpya nataka kuziingiza sokoni hivyo natafuta watu wenye uwezo wa kuniuzia bidhaa zangu kwa wateja wa aina mbalimbali ,Sifa;
Awe anaipenda kazi yake
Awe anaweza kujituma...
Gate dell latitude D620 with the following specifications: RAM 2GB, Processor 2GHZ, HDD 80, DUO CORE, BLUETOOTH, but it has problem with hard disk otherwise it works perfectl. Also get GATEWAY...
habari wakubwa:
naomba msaada kwa wale wanaofahamu mahali zinapouzwa modchips za ps2,ambazo zinawezesha kucheza cds aina nyingi zaidi,lakini pia zinawezesha kucheza gemu kwa kutumia flash...
Heshima kwenu brothers and sisters
nauza playstation 2 with controler 2 original dual shock 2, 1 memory card,
also nimeifunga modchip so inacheza cd yeyote haichagui cd, nakupa na cd zake 5...