playstation 2 for sale ( wanaohitaji tuwasiliane) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

playstation 2 for sale ( wanaohitaji tuwasiliane)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MKATA KIU, Aug 27, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters

  nauza playstation 2 with controler 2 original dual shock 2, 1 memory card,
  also nimeifunga modchip so inacheza cd yeyote haichagui cd, nakupa na cd zake 5, ipo katika hali nzuri na sababu ya kuuza nimepata ps3 so ps2 siitumii now mnakaribishwa, bei ni lak na nusu (150,000) only, not negotiable,,,,
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  weka japo namba zako tukutafute
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Namba zangu ni 0712 638 615
   
 4. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2013
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  heallo kaka mkubwa, samahani naomba unisaidie mahali naweza kununua mod chip za ps2 hasa modb 4.0 kwa bei rahisi,natanguliza shukrani.
   
Loading...