Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

QQ HIGH QUALITY ALUMINUM PROFILE AMERICAN STANDARD Dealers in: Aluminium Glass, tools & Accessories Location: Kariakoo Nyamwenzi & kiungani Street - Gerezani Area Tel: 0656 324 811 Bei zetu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nahitaji laptop salio langu ni laki 3 ie(300,000). Specifications ni Ram 1, hard disk 80 or more, processor more than 1.6GHZ, Dvd writter.Mwenye nayo ani-PM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza 0785272365
1 Reactions
2 Replies
712 Views
Simu ni nzuri kimuonekano. inatumia windows 6.1, ina chaja yake, ina 4GB internal storage. awali ilikuwa inatumika na mzungu. bei yake laki 160(maelewano yapo). kwa kujua features zake angalia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau requirements yangu ni whatsap tu,mwenye simu yoyote used anayoiuza kwa bei hiyo inayosupport tuongee biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbezi Beach House 3 Bedroom Bungalow, Master Ensuite, store and public bath. DETAILS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kinasa sauti cha kununua au kukodisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wana JF Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita. Nyumba ni self contained, ina...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Hello, looking to buy good, used, enduro type motorcycle - like Yamaha Tenere, Honda XR 650 L, Afrikan twins or similar. Please replay to PM with pictures, prices, location of the bike. NO indian...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Laptop Dell 1.9gb RAM 1.5gb Processing speed 40gb Hard disc memory Windows office 2007 Anti virus (Karpersky) 300,000/=
1 Reactions
6 Replies
1K Views
VUNJA BEI GROUP, chini ya uenyekiti wa THEDEALER kwa kushirikiana na makampuni mbalimbali yaliyobobea katika sekta mbalimbali za kibiashara km vile sekta ya ujenzi yaani makandarasi, NGOs, nk...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi there, Part time housekeeper needed. One or two times a week (max 2 hours). Work description: cleaning, washing, ironing, maybe some cooking Location: Msasani Village Requirements: Female...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu..., Naomba mnijulishe mahala ambapo naweza kuipata gari aina ya Datsun 510 au kama kuna mtu anaiuza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza gari spacio new model,rangi gold,sit 7/7 passages,km 42,000,Ac,DVD,power window,registered .Cash TZS 12,000,000Ipo Dar es salaam.Kama unataka tuwasiliane 0714-50 19 92
0 Reactions
1 Replies
1K Views
If you currently have one or even more naomba nipiggie au ni text kwenda numb +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Wana jukwaa nahitaji compacter mashine ya mkono kwaajiri ya kushindilia kwa yeyote anayejua namna ya kuipata anijulishe
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nimejaribu ku2ma post hii kwa mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada wenu,si lazima iwe mpya!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu... habari za wikiend? kuna mdau mmoja anataka kuwekeza hapa Dar es Salaa, anatafuta plot iliyoko maeneo ya ufukweni kwa ajili ya kufungua PUB na Restaurant... ikiwa na ukubwa wa 100m x 50m...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza External Portable Power Bank Backup Battery Charger kwa njia ya mnada. Kushiriki mnada huu tembelea hii link External Portable Power Bank Backup Battery Charger uweke dau lako na ukishinda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…