used htc touch diamond bei poa

used htc touch diamond bei poa

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
846
Reaction score
1,597
Simu ni nzuri kimuonekano. inatumia windows 6.1, ina chaja yake, ina 4GB internal storage. awali ilikuwa inatumika na mzungu. bei yake laki 160(maelewano yapo). kwa kujua features zake angalia google andika htc touch diamond. mimi naiuzia shida naipenda sana na ilikuwa ukumbusho wangu kwa huyu mzungu aliyenipa. nicheki 0686 964264

udhaifu wa simu:
1. haikai na chaji betri, ingawa nakupa betri 2 na chaja yake
2. kwa wale wapenz wa whatsup, haikubali.
3.old version windows 6.1

karibuni waungwana.
 
Laki 160 ndo nn?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Simu ni nzuri kimuonekano. inatumia windows 6.1, ina chaja yake, ina 4GB internal storage. awali ilikuwa inatumika na mzungu. bei yake laki 160(maelewano yapo). kwa kujua features zake angalia google andika htc touch diamond. mimi naiuzia shida naipenda sana na ilikuwa ukumbusho wangu kwa huyu mzungu aliyenipa. nicheki 0686 964264

udhaifu wa simu:
1. haikai na chaji betri, ingawa nakupa betri 2 na chaja yake
2. kwa wale wapenz wa whatsup, haikubali.
3.old version windows 6.1

karibuni waungwana.
Kama ilikuwa imetumika na mzungu cha ajabu nin nini?
 
Simu ni nzuri kimuonekano. inatumia windows 6.1, ina chaja yake, ina 4GB internal storage. awali ilikuwa inatumika na mzungu. bei yake laki 160(maelewano yapo). kwa kujua features zake angalia google andika htc touch diamond. mimi naiuzia shida naipenda sana na ilikuwa ukumbusho wangu kwa huyu mzungu aliyenipa. nicheki 0686 964264

udhaifu wa simu:
1. haikai na chaji betri, ingawa nakupa betri 2 na chaja yake
2. kwa wale wapenz wa whatsup, haikubali.
3.old version windows 6.1

karibuni waungwana.

Samahi kama sijakuelewa vile, unaipenda Simu au unampenda mzungu aliyekupa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom