ukiongeza laki na ishirini kwa kariakoo utapata machine nzuri ya
2gb ram
160+ hdd
2.4 intel dual core processor
webcam + bluetooth
mfaano; dell E6400
Nahitaji laptop salio langu ni laki 3 ie(300,000). Specifications ni Ram 1, hard disk 80 or more, processor more than 1.6GHZ, Dvd writter.Mwenye nayo ani-PM.
ukiongeza laki na ishirini kwa kariakoo utapata machine nzuri ya
2gb ram
160+ hdd
2.4 intel dual core processor
webcam + bluetooth
mfaano; dell E6400
duka gani???
Nahitaji laptop salio langu ni laki 3 ie(300,000). Specifications ni Ram 1, hard disk 80 or more, processor more than 1.6GHZ, Dvd writter.Mwenye nayo ani-PM.
Hao jamaa wa Cheap PC ni kweli wako very cheap hadi mtu unaweza kuogopa! Hata hivyo, nahisi kwamba PC zao ziko too used. Kuna duka moja pale karibu na Bank ya Posta Kariakoo, ni kaduka kadogo sana ambako unaweza hata kukapita...ni la Wasomali. Anyway, they're not as cheap as the above coz' Laptop zao ni new lakini kwa bei zao, ni very cheap!anzia na cheap computer lipo opposite na kituo cha polisi msimbazi kwenye stand ya mabasi ya ubungo na mbezi
Kwa kuwa napita maeneo hayo mara kwa mara nitawatembelea niwaone nao pia maana ni vizuri kupafahamu pia.Hao jamaa wa Cheap PC ni kweli wako very cheap hadi mtu unaweza kuogopa! Hata hivyo, nahisi kwamba PC zao ziko too used. Kuna duka moja pale karibu na Bank ya Posta Kariakoo, ni kaduka kadogo sana ambako unaweza hata kukapita...ni la Wasomali. Anyway, they're not as cheap as the above coz' Laptop zao ni new lakini kwa bei zao, ni very cheap!