Nyumba inapangishwa Mbezi luis

Nyumba inapangishwa Mbezi luis

beko

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
191
Reaction score
92
wana JF

Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita.

Nyumba ni self contained, ina 3 bed rooms (moja ni master), seeting room, Dining room, jiko, store, public toilet & bath room, car pack, fensi ya ukuta, maji ya Dawasa, umeme, na water storage ya lita 12,000.
kwa mawasiliano piga 0714432979
 
Tangazo lako linafaa zaidi kama ukiweka picha ambazo zitaonyesha vyote hivyo uliyvovitaja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom