Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu... Napangisha eneo la biashara lipo mwenge karibu na geti la kuingilia stendi inayojengwa (karibu na ilipokua tamari hotel) Hili eneo nlipangishwa kama eneo la wazi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari , nauza simu tajwa hapo juu ipp clean mpya ,, sifa za hizi simu picha zake zipo clean as reality...for more ni cheki 067270132...pia po moshi KCMC price 360,000...RAM 6 GB, INT.64 GB
1 Reactions
2 Replies
628 Views
Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza...
5 Reactions
146 Replies
27K Views
Kwa mahitaji yako ya asali mbichi … Asali hii kutoka katika msitu wa Kigosi … ni asali salama sana kutokana na kuvunwa mbali na makazi ya watu kwa zaidi ya Km 50… (Organic Honey)… Bei zake ni ~...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
We are selling spear parts of machines like, Motor Graders, Excavators, Dozers, Rollers, Wheel loaders & Backhoe Loaders. Specifically these brands CAT, KOMATSU, SHANTUI, HITACHI, CASE, HYUNDAI...
1 Reactions
13 Replies
932 Views
Habari za Wakati Huu Je unahitaji Nyumba,Viwanja,Mashamba n.k. Ndani ya Kigamboni katika maeneno ya Vijibweni,Kibada,Kisota,Gezaulole,Cheka,Kimbiji,Mbutu na Maeneo ya Jirani na Hayo? Usisite...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Nauza tv za mtumba kumpuni tofauti tofauti kuanzia Philips, Sony, lg, Hitach na mengineyo. Bei zetu kuanzia 440,000___450,000 nakuendelea. tupigie humu 0715 378899 au0687558785
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Location Mwanza Kishiri Kwa mawasiliano njoo inbox Nina shida ya hela, kimfaacho mtu chake.
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Hiki ni kiwanja kilichopimwa kwasasa kipo kwenye mchakato wa kupata hati wilayani Kibaha. Kiwanja kipo Vikawe-maeneo ya Miwale...kina SQM 2538. Kipo eneo zuri sana hakipo bondeni, kimepakana na...
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Habari za jioni. Karibuni kununua kiwanja chenye nyumba ndani, kipo fenced. Eneo ni Buguruni Kisiwani. Bei ni millioni 70. Kwa atakayependelea awasiliane kwa namba 0784307401. Huyu ni mmiliki...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
2 Reactions
16 Replies
934 Views
Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Kuna msururu wa mafundi wengi ambao wamekuwa wakiwashauri wamiliki wa magari au wao wenyewe kuondoa thermostat katika gari bila kujua umuhimu wa hicho kifaa hasa pale gari inapoanza kuoverhit...
20 Reactions
52 Replies
15K Views
Hii ni Diagnosis ambayo inacover mifumo yote ya gari yako tofauti na OBD2 ambayo kwa mashine nyingi huwa inacover tu faults za engine japo ilitakiwa kucover power train yote(Yaani Engine na...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox. Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF). 1. Standalone ATF 2. Universal ATF Hebu tunagalie moja baada ya nyingine...
12 Reactions
39 Replies
22K Views
Wakuu, msaada tafadhali. Natafuta Clutch Master Cylinder ya Massey Ferguson 3085
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Habari za muda huu wapendwa, Napenda kuwakaribisha wote mnaotumia au mnaotarajia kutumia bidhaa zitokanazo na miti ya michikichi kama vile; MAWESE (PALM FRUITS OIL) - hii ni kwa matumizi ya...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
HABARI ZA MAPUMZIKO NINAUZA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA 16-13, KIWANJA HIKI KIPO JIJINI DAR ES SALAAM, ILALA , CHANIKA NYEBU KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA YA MTAA, NA UMEME UPO, KUNA...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Kwa mahitaji ya vifaa vya umeme, tunapokea order za wateja wetu, tunahakikisha mteja wetu anapata huduma ya uhakika na kwa muda muafaka, kupitia thread hii ntashare products mbali...
9 Reactions
238 Replies
12K Views
Uzito -30kg Bei-200k Maelewano -yapo.
1 Reactions
0 Replies
323 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…