This car is used overseas, its in good condition, ready to be imported,
- air condition
- petrol
- manufactured 2005
- automatic gear
- electric windows and mirrors
- tempomat
- RHD
- alloy wheels...
Habari wakuu,
Natafuta house ya 2bedroom full furnished maeneo ya mikocheni isiwe mbali na barabara ya old bagamoyo road.
cost less than usd 600 per month.kwenye nayo ani pm.
A Surveyed Plot
Location: Plot No 35, Block M, Goba Mtambaa, Kinondoni Municipality
Total Area: 2,088 Square Metre
Price: 25,000,000/-
Contact: +255757000400
Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/
restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na uchomaji wa nyama, mkataba
ni maelewano kuendana na
sehemu yenyewe ilipo na flow...
TUNATOA HUDUMA KAMA ZIFUATAZO kama madai ya ardhi ,jinai,ndoa, miradhi ,madai yakawaida ,pia tunawakilisha wateja wakesi mahakamani kama kutaonekana kunahitaji hilo na kusimamia mauzo...
WAKUU NAOMBA KAMA KUNA MDAU YOYOTE WA JF MWENYE INFOR. ZA CEMENT YA NJE ie IRAN OR PAKISTAN ANIPATIE MAHITAJI YANGU NI MIFUKO 640 KWA WEEKI NAOMBA KUFAHAMU PRICE KWA MFUKO MOJA WA KG 50.
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kiswahili,Kiingereza na Kichina. Pia ninafahamu masoko na Viwanda yenye...
Kilipo: Bwawa la Mindu karibu kabisa na Barabara ya Moro-Iringa Ukubwa: Ekari Moja Bei: Mil.10(Mazungumzo yapo) Mawasiliano: PM kwangu nikuunge kwa mwenye eneo Karibuni wote! Mzee Tupatupa wa...
Nimepata kusikia kuwa gari aina ya Suzuki Swift ni gari nzuri sana kwa mtanzania wa ngazi ya kati(Middle Class) kwa matumizi binafsi katika mazingira ya mijini Kwa vigezo vya BEI NAFUU, MAFUTA...
Wasalaam ALEIKHUM wakuu
Simu Galaxy SII inauzwa laki 4 tu, inapiga mzigo fresh
Defaulty
Imepasuka kioo cha mbele sehemu ya juu (Tazama Picha) hakuna tatizo lingine zaidi ya hilo
Nasikitika...
viko kilomita 2 kutoka morogoro road ,size mita 25*23 million 4.5 na 20*20 million 3.5
vinafikika vizuri kwa gari , na umeme ukojirani kabisa.
(piga 0715055577/0769055577 kwa taarifa zaidi)
Habari wadau,
Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu.
Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja...
Kwa wale wenye Guest
house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji
kusambaziwa channel tuwasiliane kwa
PM ni channel zozote uzitakazo wewe
ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu
sana. Aksanteni sana pia...