Natafuta nyumba ya kununua Gongo la mboto iliyo na hati.
Bei iwe kati ya Milioni 25 mpaka 30 ila ifanane na bei yake.
Location: Isiwe mbali na barabara ya lami ya pugu kuzidi kilomita 5
Status...
Get hotels and flight discount,
Get payed holiday to different countries
Get $1000, $10,000 n more.
Be a member today. Onetime
Membership $375
More details PM
Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na
uchomaji wa nyama, mkataba ni maelewano kuendana na sehemu yenyewe ilipo na flow ya...
Habari wana jamvi....nauza tablet yangu samsung galaxy note 10.1 kwa laki 8 na maongezi yapo
Labda nitaje sababu ambazo zimenifanya niuze hii tablet ni kwamba nataka nibadilishe nitumie aina...
Habari zenu wakuu, nahitaji gari aina ya Rav 4 Manual transmission, 5 Doors, Year 1998 - 2000.
Weka details za gari ikiwezekana na picha kama zipo na bei yako.
Asante sana.
Shamba Ekari 109 linauzwa lipo Iringa Ifunda kijiji cha Mgama lipo kwny mazingira mazuri na ardhi yake inakubali zao lolote linalokubaliana na hari ya hewa ya iringa pembeni kuna bwawa la maji...
Habari za usiku wadau,
Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante