Mwenye Rav4 Manual

Mwenye Rav4 Manual

Nyaubwii

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
229
Reaction score
55
Habari zenu wakuu, nahitaji gari aina ya Rav 4 Manual transmission, 5 Doors, Year 1998 - 2000.

Weka details za gari ikiwezekana na picha kama zipo na bei yako.

Asante sana.
 
Mimi ninayo ya mwaka 1999, ila sijaipiga picha ni PM
 
Habari zenu wakuu, nahitaji gari aina ya Rav 4 Manual transmission, 5 Doors, Year 1998 - 2000.

Weka details za gari ikiwezekana na picha kama zipo na bei yako.

Asante sana.

Piga simu namba 0715 309830 tufanye biashara
 
Biashara hii ilishafanyika?
Hivi wewe unadhani hapa JF kuna issue serious inayofanyikaga? Hapa no porojo tu, and business as usual! Nawashangaa sana watu wanaoamini kuna kitu serious kinaweza kikatokea from JF!
 
Wakuu samahani nilisahau kuwapa mrejesho. Biashara ilishafanyika tayari asante kwa wote walioni PM nimefanikiwa kupata moja ambayo nimeipenda zaidi.
 
Mkuu Makanyaga uwe unasoma post zilizotangulia kabla hujapost otherwise unajaza server bila sababu ya msingi mkuu

Nimesoma, ila nikadhani pengine hii ingeweza kuwa the best alternative way to you. Unataka kununua gari used hapa bongo? Inabidi uwe unafahamiana na watu wa kwenye yard possibly
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom