Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nipo dar nauza lap top kwa laki 2 tuu...ni nzima sifa za laptop:hp compaq nc6220 hp compaq pentium centrino 1.73ghz 1gb ram 40gb hard drive dvd-cdrw (combo) 14.1" screen lan modem wifi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Very good condition...pm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dhibiti au punguza UZITO wako ndani ya siku tisa (9). 0713507487 0767507487 0782898210
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Im looking for a business partner to run a fish farming project in tanga region. estimated cash flow is 30 million +. any interested party should contact me through my number 0718654739 or through...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi habari! Nimelima shamba la vitunguu yapata ukubwa wa ekari 1 na sasa vimefikia hatua ya kuweza kuvunwa. Kwa makadirio natarajia kuvuna kama gunia 70. Kwangu naona si haba na nimeamini...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
anaepangisha chumba kimoja maeneo ya sinza mori kwa 80000 kwa mwezi tuwasiliane 0762052850
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Nymba iko Kijichi karibu na Neluka Secondary Kiwanja kimepimwa na ina umeme wa LUKU BEI 60M Maongezi yapo. Piga 0713 33 83 42 au NiPM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa: ina vyumba 3 vya kulala, sebule na dinning room. ina jiko, store na bafu + choo vyote ndani. pia ina eneo la kutosha kujenga nyumba nyingine hata ya vyumba vitatu vingine. MAHALI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Mwanza pekee Galaxy Tab 7'' inauzwa 650,000/= imetumika wiki mbili iko na boksi lake na accesories zote hata nylon ya kwenye screen haijatolewa. nilinunua kwa 1,000,000/= Model ni...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Dear fellows you should pay your attention to this NETWORK MARKETING BUSINESS as Robert Kiyosaki termed it "The business of the 21st Century". We are being taught in schools/universities with...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Wakuu habari za mchana wa leo?! Mimi ni mfugaji wa samaki na hatua waliyofikia sasa ni kuliwa,kwa wanaohitaji Tafadhali wani-PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi. Lakini pia nakaribisha ushauri na...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauza usb tv tuner nimeitumia miezi miwili na ina installation cd yade,usb cable na cable ya kuconnect with video camera or king'amuzi ili uone kwenye computer yako! Naiuza sababu siitumii kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefanya mawasiliano ndani ya JF bila mafanikio, hivi sasa nahitaji madirisha 20 hivi ya aluminum kioo one way na mosquito slides ukubwa wa dirisha ni futi 4 kwa 5 lenye partition kwa juu, kwa...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Wakuu Habari zenu? Nimekuwa nikitafuta kitabu cha alfu Lela ulela (chapisho la kwanza kwa Kiswahili ) takriban miaka minne sasa lakini sijafanikiwa zaidi ya kupata hivi walivyo durufu kwa mara ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
PATA perfume nzuri sana kwa mwanaume NA wanawake perfume nzuri sana. bidhaa bora toka forever living products. 0713507487 0782898210 0767507487 price 78000
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza TTCL rafiki top up card za Jumla ya shilingi laki Moja na Elfu Ishirini(50,000 2pcs, 10,000 2pcs) kwa shilingi laki Moja baada ya kununuliwa kimakosa badala ya Broadband zilinunuliwa za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fd
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wanajamii naombeni ushauri nataka anza hii kazi ya home design Ambayo ntabase katika mambo ya Kitchen Living room Bedrooms Garden Ninauzoef mdogo wa kuona kazi za watu bt i know i can do...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza simu ya samsung galaxy note 2. Imetumika kidogo, almost three months, in excellent condition. Bei tsh 790,000. Mawasiliano pm au nichek at 0717301520 or whatsapp
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…