Nyumba inauzwa ifakara

Nyumba inauzwa ifakara

biashara01

New Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Nyumba inauzwa: ina vyumba 3 vya kulala, sebule na dinning room. ina jiko, store na bafu + choo vyote ndani. pia ina eneo la kutosha kujenga nyumba nyingine hata ya vyumba vitatu vingine.
MAHALI ILIPO: Ifakara uwanja wa taifa.
BEI: 18 million.
Kwa mawasiliano ni PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom