Mambo vp? Ninauza simu Aina ya Nokia x2-01 single line, supporting whatsapp, Facebook, twitter na application nyingine nyingi. Iko kwenye condition na Haina tatizo lolote. Bei ni 135,000, iPod...
Ipo katika hali nzuri, imetumika muda wa miaka miwili, engine two stroke,imesajiliwa na inapiga mzigo vizuri.Serious buyers PM.Picha zipo hapo chini, ipo kinondoni studio.
chumba na sebule kinapangishwa maeneo ya tabata kimanga kiko karibu na stendi pia kodi yake nafuu ni sh.60,000 kwa mwezi na kodi inalipwa kwa miezi 6 nicheki kwa 0717 022737
kiwanja kinauzwa mbezi ya kimara mwisho maeneo ya kwembe chenye ukubwa wa hatua 50 kwa 40...kinauzwa kwa bei ya millioni 17 pia kuna maelewano. Piga namba 0717 022737 kwa serious buyer..
Kwa yeyote mwenye kufahamu namna navyoweza kuwapata wauzaji wa printer kubwa za konica minolta kule dubai. Nimetafuta kwa internet nimeshindwa kupata contact zozote. Msaada na namna ya kufika dubai.
Viwanja vinauzwa Makabe maeneo ya Mbezi road viko karibu kabisa na Barabara na barabara inafika mpaka kwenye viwanja vyote,vyote vina ukubwa wa 20X35 na bei ya kila kimoja ni mil.13,kwa mwenye...
Ndugu wadau napenda kuulizia bei ya hiace dungu ikiwa used japan hadi kuifikisha tz na kulipia kila kitu inaweza kugharimu kiasi gani?
Nitawashukuru wote mtaonipatia taarifa coz nataka kubiashara hii.
Tunatengeneza software kwa ajili ya management ya biashara yako mfano :- Payrol software,School management system,hotel management,accounts software and may more software according to customer...
Kama kuna mtu Ana miliki magari ya namna hiyo( Lexus,Noah,Rav4 hata kama Una Prado) nataka tubadilishane kwa gari yangu aina ya Nadia na pia nakupatia na hela kadhaa.
Lexus(Nadia na 3M)
Noah...
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara...
Nauza Toyota Altezza Gita milion 12 namba CLL rangi ya silver ina week toka itoke bandarini, na pia ina mziki wa thamani ya milion moja Unaplay DVD... Call 065314
Stanley, Dar es salaam