Viwanja vinauzwa

Viwanja vinauzwa

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,839
Reaction score
27,417
Viwanja vinauzwa Makabe maeneo ya Mbezi road viko karibu kabisa na Barabara na barabara inafika mpaka kwenye viwanja vyote,vyote vina ukubwa wa 20X35 na bei ya kila kimoja ni mil.13,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0715843780 viko flat,kuna maji na umeme karibu pia maongezi yapo!
 
nikikukonecti na mteja vipi commission ipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom