Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ni NOKIA X2-02 line mbili made in india ina mwezi tu TSH 100000 internet full,charger,earphone zpo. PIA NOKIA N1280 TSH 25000 TU,charger yake ipo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba vitatu, sitting room, Dinning room na jiko inapangishwa Makongo juu. Ipo ndani ya uzio, umeme wa Luku maji ya kununua inapangishwa. Kodi ni laki nne kwa mwezi (400,000 per month)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna Eneo Zuri linauzwa lipo Chanika Adida Karibu na shule ya sekondari binafsi, lenye urefu wa mita 110 na upana mita 30, bei yake ni shilingi 50,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Viwanja vyenye hati miliki(title deed) vinauzwa kigamboni. Ukubwa wake ni 1007 sqm, kipo Gezaulole block 24, na kingine 1543 sqm kipo kibada block 26. Bei ni sh 30,000 per sqm. Pia kuna kiwanja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana wanaJF habari zenu na poleni kwa pirika za maisha dhumuni la mtiririko huu kutoka kwangu ni kuulizia kama kuna mtu yeyote hapa jamvini anayo au anamfahamu mtu anayeweza kuuza au sehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu. Kwasasa serikali imezindua kampeni ya virutubisho kwa watoto wenye umri wa miezi 6-miaka 5. Kampeni hii ambayo inafadhiliwa na USAID na Wizara ya Afya nia yake hasa ni...
8 Reactions
55 Replies
20K Views
nimejaribu kuangalia tangazo la modem lakn sijaona,wap naweza kupata universal modem kwa bei nafuu
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Wakuu nauliza wapi naweza pata Dhahabu kwa bei nzuri ambayo haijawa manufactured? Nikiwa naana kwamba nataka kujaribu hii biashara. Mlioko machimboni please msaada. Unaweza kuniwekea PM ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Almost new Nikon D3100 with digital SLR features for sale. Some of the features include: DX format, 14 megapixels, capable of video recording, 18-55mm lens, 3 inch LCD screen, built in flash...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Wapendwa wana JF biashara ni matangazo nami natangaza yangu! Mie ni freelancer graphics na websites kwa bei nafuu! Pia kama una website na unadhan inahitaji marekebisho usisite kunipa tenda! Kwa...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Wadau swalamaa kama inavyonyesha kichwa cha habari hapo juu simu iko katika hali nzuri haina tatizo kwa mawasiliano nipigie:- 0763355477/ 0657711337.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bado mpya, aina scratch, ipo rooted. Bei 145,000. wasiliana nami: 0717157424
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Saver. Aina ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello wana JF Ninauza printer za HP laserjet p1606dn. zimebaki chache, zina uwezo kwa kuprint duplex (double side) 22ppm na unaweza connect kwa usb au network. bei 300,000/= tu. APC Smart ups...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Iwe katika hali nzuri na best features. Specs za ukweli pia. Call O714486466
0 Reactions
1 Replies
897 Views
macbook air mid 2009 used kwa miezi 2 ram 4gb hdd 120gb duo core processor. Inch 11.5 kwa bei ya sh. 900,000 chek me 0717 022737
0 Reactions
0 Replies
1K Views
toyota spacio new model year of manufacture 2001 gold colour sports rims imetumika miezi sita tanzania bei 11m contact 0773 455070
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Namtafuta kijana wa kiume au wa kike kwa ajili ya kusaidia kazi ya kuuza dukani.duka lipo tarime mjini,mshahara mnono
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…