Noah inauzwa

Noah inauzwa

KENVICTORS

New Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Gari iko katika hali nzuri ina Kilomita 68000. bei 11.5M. Kwa mawasiliano 0783449031 au ni PM.
 

Attachments

  • noah1 (4).jpg
    noah1 (4).jpg
    54.5 KB · Views: 96
  • noah1 (3).jpg
    noah1 (3).jpg
    82.4 KB · Views: 98
  • noah1 (2).jpg
    noah1 (2).jpg
    80.3 KB · Views: 83
Mkuu kimsingi hiyo picha inayoonyesha mileage haina tija kwasababu inaonyesha 59025 wakati kumbe gari imetembea km 68000 kama bandiko lako linavyosema. Ila mashine imetulia ngoja wanunuzi waje, mi napitapita tu.
 
sawa inabidi nipige tena picha ya mileage. samahani kwa hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom