bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?

bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?

hata elfu hamsini utapata laptop za pentium threee au pentium 2 wewe tu na roho yako ila kwa mpya aseee inategemeana na vitu vingi sana so fanya window shopping mitaaa mbalimbali utajua bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom