Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna Bracelet moja flani zipo na kipisi cha Tanzanite stone katikati, Bracelet hyo inakuwa ni kubwa, Picha yake hizi hapo chini. Kwa mkoa wa Mwanza zinapatikana Au zinauzwa sehemu gani jaman...
2 Reactions
11 Replies
740 Views
Vyenye hati ambavyo kuanzia sqm 400 ni million 6.5 Ambavyo ni mauziano serikali ya mtaa ni million 4(sqm 400) Toka moro road unatembea tu, kwa boda ni buku Umeme upo, maji ya dawasco yapo Barabara...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
CALL / WhatsApp 0652565597 Kwanza kabisa ili laptop iwe bora angalia utendaji wake wa kazi , pili angalia body yake hapa naamanisha jumba lake je lipo clean na tatu angalia unapewa warranty ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nokia 6300 4g 2.4Display WiFi Support WatsApp Facebook YouTube Google Maps Price - 180,000/= Free Delivery [emoji598] Warranty 1year[emoji736] Contact:- 0712 531 833 Located:- Dar...
0 Reactions
7 Replies
584 Views
Habari , Jipatie back stretcher ambayo husaidia kupunguza maumivu ya mgongo lakini pia kewezesha mwili kuwa katika mkao mzuri pale unapokaa. Hii ni nzuri na muhimu kwa ajilinya watu...
2 Reactions
1 Replies
563 Views
Habari ndugu zangu JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eneo la Ekari moja linauzwa. Mmiliki ni dada yangu kaomba nimtangazie Mahali: Kibaha Visiga miwaleni, 500m kutoka barabara kuu ya...
2 Reactions
5 Replies
652 Views
Kama unataka kununua kiwanja Kibaha, nina viwanja Kibaha kwa Mfipa, upande wa chuo, ndiponinapoishi. Viwanja viaanzia ukubwa wa 20×20(sqm400) Viwanja ambavyo ni mauziano ya serikali ya mtaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kontena lipo Dar Mbezi Kimara Ukubwa ni 40ft Halina document Unauziwa kwa mkataba na kampuni 0744757738 Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
2 Reactions
0 Replies
406 Views
Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika. Uwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, Sinza au jirani kabisa na maeneo hayo. Nipigie 0755571604 au 0783095169 Asanteni.
1 Reactions
6 Replies
673 Views
Nauza simu ya button tecno ,simu haina shida yoyote ipo na chaji yake n kila kitu .Inapatikana KIBAMBA -GOGONI PRICE;25000 TSH CONTACT ;0744639217 0784325299
1 Reactions
4 Replies
619 Views
Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali Makadirio Muda wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetumia home theartee aina nyingi na zenye uwezo mkubwa, zenye mziki mkubwa na nimeuza sana. Leo nimepita sehemu nimekuta redio ya saboofer kampuni ya seapiano 912, toleo jipya ina sipika ndefu...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained ▫Sitting room zipo mbili chini na juu ▫Dining room ◇...
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Nahitaji used simtank la maji lita 10,0000 Angalizo Liwe bado zima Iwe Dodoma
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Bei Ya China Bila Usafiri 60000 kila box (Sabufa Kubwa) Makadirio Usafiri na tozo za serikali kwa meli 40000 kwa box (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau naomba kupata gharama za kuchimba kisima urefu wa metre 200. Je ni kampuni gani nzuri na bei zao na inachukua mda gani. eneo la kuchimba ni Arusha kwa Morombo na Kigamboni Dar es salaam. It...
1 Reactions
117 Replies
65K Views
Picha hapo juu ni miongoni mwa simu izo za mtumba Simu Zimetumika China na ni Global Version Zinatumika nchi yoyote Gharama ya usafiri kwa meli kila moja 30000 wiki 4-6 Gharama ya usafiri kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Tupo Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam. Tunatoa huduma za kutengeneza Gari Aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia. Hii idea imetokana kuwa wauzaji wa spares za magari kwa Jina tunajulikana kama...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Je, wajua Watu wa OSHA na wale wa BIMA wana zingatia sana uwepo wa Alama hizi hasa katika viwanda, Bohari na karakana za Uzalishaji na Katika maeneo ya Kazi za Mitambo? Je, wajua Endapo Kutatokea...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama mnavyojua Bongo utapeli mwingi, ni vvyema kupeana location hapa
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…