Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shikamooni wakuu..hope wote mpo salama.mbarikiwe sana,mimi ni graduate,natafuta mentors especially waliosomea business related courses na ikiwa marketing itakua vizuri zaidi.Pia wenye uzoefu au...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanajf,naombeni mnisaidie juu ya kupata kazi kwa mtu,kampuni binafsi na viwandani na hata ya dukani ila iwe na masilahi,elimu yangu ni form 4 pia nipo dar es salaam,asanteni
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wandugu Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Bajaj TVS namba BLP inauzwa. Ipo katika hali nzuri na inafanya kazi....Bei milion 2 lak 8(2.8m).Alie interested ani PM tufanye biashara
0 Reactions
7 Replies
1K Views
boxer bm 150 imetumika kwa miezi 5 bado mbichi kabisa inauzwa kwa bei ya 1,650,000 ina namba ya c nicheki kwa 0717 022737 pikipiki haina tatizo lolote
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Server. Aina ya...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Tablet za kutumia sim card zinauzwa,mpya kabisa kwenye box na accesories zote.bei laki 4 whatsap or call 0713404014
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Land cruser ya mwaka 1992 Ipo na hali nzuri bei ml 20
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni pm wadau...... GB ngapi? System version? Used Au New? Padi Ngapi? Na Games Kama Zipo? +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Pata vifaranga vya kuku wa kienyeji toka Bena quality chicks.Tunao kuku aina ya malawi, chotara, Rhode Island Red, Barreck Rock, Bata Mzinga,tunauza vifaranga kila wiki, tunatoa ushauri kwa wateja...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Mwenye mapenzi mema na filamu zetu, nahitaji mtu mwenye uwezo wa kunidhamini ili nifanye nae kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba nzuri inauzwa ipo Ukonga Moshi Bar ina vyumba 9 umeme na kisima na ipo karibu na barabara ya mtaa bei ni shilingi 28,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
0 Reactions
0 Replies
960 Views
boxer bm150 imetumika kwa miezi 4 bado mbichi imelipiwa kila kitu yaani motor vehicle na ina bima kubwa(comphrensive insurance) bei haipungui nicheki kwa 0717022737 ilikuwa inatumika kwa safari za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibu mjipatie asali safi kwa kutoa order yako kupitia namba 0683370065 au 0769129351 kwa wale mliopo DAR ES SALAAM AU MOROGORO na utaletewa ulipo bila kujihangaisha! Lakini pia wakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eneo lipo mikwambe kigamboni km 3 kutoka main road ya kigamboni-kongowe, umeme haujafika, gari zinafika hadi eneo husika. 0712769766
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Natafuta samsung tab 2 10 inch skrin
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Xbox live used.....(Broken or Dirty Lense)-80,000Tsh -With 2 to 3 games with pad and original ca bles and memory card .....+255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Simu tajwa hapo kwenye headline inauzwa ni Adroid system na inatumia line zote pasipo kuchagua. Bei ni 120,000 Kwa atakayehitaji piga namba hizi 0787577755 or 0717577755 Bei haishuki!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
shamba hekar tano linauzwa kati ya hizo tano heka mbili lina mikorosho , lipo kijiji cha mwanzo kabisa cha wilaya ya rufiji kama ukitoka dar kuelekea lindi/mtwara au kijiji cha mwisho cha wilaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko katika very good condition,ni ya mwaka 2006,imetembea Km 78,000 price ni 15,500,000/= maongezi yapo!kwa wale walio serious wani PM tafadhali
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…