Thesnooperman
Member
- Jul 3, 2013
- 57
- 6
Wanajf,naombeni mnisaidie juu ya kupata kazi kwa mtu,kampuni binafsi na viwandani na hata ya dukani ila iwe na masilahi,elimu yangu ni form 4 pia nipo dar es salaam,asanteni
Wanajf,naombeni mnisaidie juu ya kupata kazi kwa mtu,kampuni binafsi na viwandani na hata ya dukani ila iwe na masilahi,elimu yangu ni form 4 pia nipo dar es salaam,asanteni
Unataka kulipwa sh ngap na aina gan ya kaz?
Jamani naomba mnielewe me ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 22,nahtaj kazi kwenye maduka,workshop mbalimbali za watu,viwandani na hata makampuni binafsi,malipo ni maelewano kutokana na kazi yenyewe.
Upo tayari kupokea bea gani? nataka nikutupe kwenye ki-Grocery changu.
elfu tano na mia tano tu kwa siku
Poa nita ku-PM nikifanya analysis
elfu tano na mia tano tu kwa siku
@Thesnooperman unampango gani na kazi za watu hizi aisee kwa kiwango hicho cha fedha ulichoomba?
Enewei, nauliza tu
ndogo eehe
Jamani nipeni dili hzo za kazi maisha magumu