mkana special
New Member
- Jun 25, 2013
- 3
- 0
shamba hekar tano linauzwa kati ya hizo tano heka mbili lina mikorosho , lipo kijiji cha mwanzo kabisa cha wilaya ya rufiji kama ukitoka dar kuelekea lindi/mtwara au kijiji cha mwisho cha wilaya ya mkuranga ukitoka dar kuelekea lindi/mtwara. Kijiji kinachojulikana kwa jina la jaribu mpakani. Kipo karibu na kilwa road na eneo ni tambalale bei ni sh.milioni 15. kwa mawasiliano 0786244287 au elia.gaudence@yahoo.com