Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salam wakuu, napenda kutambulisha kwenu duka la kwanza na pekee la ASALI halisi na bora toka HONEY SPRING. duka lipo katika ghorofa la LOTTOS mkabala na ofisi za bima. Asali hii inatoka mkoani...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
SAMSUNG GALAXY Y DUOS for sale In a very Good Condition Price Tshs 140,000 Call 0752385949
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mwenzenu nina shida ya fedha ya haraka nimepungukiwa kama Million nne, nipo Dar nimeamua kuuza Plot yangu fasta, Ipo Dodoma ni kiwanja cha mradi kilitolewa na CDA katika mradi wa April 2006...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nipo DSM,Natafuta used laptop iliyo katika condition nzuri, long battery life na iwe cheap, kwa yeyote anayeuza anipm, usisahau kuweka specifications zake pamoja na bei. Thanks for your time and...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Wakuu naombeni msaada,nna 8milions nataka kuagiza used Carina car direct from japan ya mwaka 2000/2,swali ni kwamba,je hiyo amount inatosha?jinsi ya kuagiza ndo mgeni kabisaaaa,naskia tu sjui...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
friji inauzwa kwa bei ya laki 5 mpaka laki 4 na nusu,ni ya biashara kama kuweka juice na soda n.k.,inapatikana maeneo ya tabata bima.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lumia 620 ,black OR (any colour), 8GB, <month used,with ALL accessories + BOX. its WINDOWS 8 and upgraded to any window. NB: supports Instagram,Skype,viber, whatsapp and many more! pics...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, nauza line ya M-PESA. Simu: 0712 687590
0 Reactions
16 Replies
3K Views
I would like to sell my house which is located @ Olasiti, so I'm requesting for any agent to give me an advice as in what price should I sell... Regards, Jonathan.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau line yatigo pesa inaitajika kwa matumizi ya huduma ya mpesa mkoa wa morogoro na tanguliza shukrani simu 0713091066
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitambulisho hiki ni hazina kubwa sana Nimekiokota maeneo ya Tabata-Saibaba Kura moja inaweza kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwa ilikuwa barabarani sikweza kukikabidhi mahali popote Yeyote...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kama una shule au chuo nina uzoefu wa kufundisha hilo somo ,Napatikana Dar es salaam ,kama uko interested ni pm au 0759 146483
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Sumsung mini laptop intel atom 1.66ghz,2gb ram,200gb hdd,wifi,bluetooth,webcam,3.0 usb ports,sd card slot 5HOURS Of CHARGE,ts in a mint condition windows 8 installed!location...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jipatie huduma zifuatazo kutoka katika kampuni tajwa hapo juu 1.Pata ramani za nyumba katika usanifu wa kisasa 2. kufanyiwa estimate Za ujenz wa building and civil works 3.Survey works I.e...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu shamba linauzwa lipo kibaha tumbi km 9 kutoka tumbi hospitali, liko eneo linalotwa boko mnemela lina ukubwa wa ekari mbili na ukitaka kupata hekari moja pia unaweza kukatiwa. Bei kwa heka ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni Pm Wakuu Kama Mnayo.
0 Reactions
0 Replies
582 Views
specification zake ni hard disk ni 160 gb, ram ni 1 gb na processor ni 1.67 bei yake ni 270,000 pungufu kidogo tunaweza ongea. mawasiliano 0713532322 dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau kwayule mwenye kuitaji chumba nasebule maeneo yatemeke mwisho mtaa wa njinjoo bei elf 50000 kwamwezi ila mpangaji atatoka tarehee 16 mwezi wa nane kisha unapaswa kulipia miezi iliobaki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…