Chumba nasebule kinapangishwa temeke mwisho

Chumba nasebule kinapangishwa temeke mwisho

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
wadau kwayule mwenye kuitaji chumba nasebule maeneo yatemeke mwisho mtaa wa njinjoo bei elf 50000 kwamwezi ila mpangaji atatoka tarehee 16 mwezi wa nane kisha unapaswa kulipia miezi iliobaki kuisha mwaka bada yahapo inatakiwa ulipe ya mwaka mzima karibuni simu 0712690760 umeme upo
 
maji yapo tunachota nyumba yapili mana ndio kuna kisima

unaona eeeh. umeanza oh maji yapo lakini tnachota nyumba ya jirani. vipi kuhusu vibaka wachana nyavu za madirisha??? maeneo hayo ni salama maana vijana wa temeke ni kiboko
 
wadau mmi mwenyewe mpangaji tu nimeleta tngazo kwawadau wenye kupenda kwani naka hapa namaji nachota nyumba yapili kama utapenda karibu maswala yakuchana nyavu sijayahona hapa naninamuda na kukremu kubaya sana sio kila temeke kuna vibaka
 
umeshaharibu sasa sijui kama utapata mpangaji.!!?
 
wakuu mm nimelete kwawenye shida kama iyo kwa wadau wenzangu mana huu ndio uwanja wanyumbani kizuri kula na watu wako na mimi watu wangu wapo jamii forum nawala sio dalali ieleweke ivyo mwenyeshida karibu asio nashida basi isiwe tena tabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom