Shamba linauzwa (Kibaha Tumbi)

Shamba linauzwa (Kibaha Tumbi)

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Wakuu shamba linauzwa lipo kibaha tumbi km 9 kutoka tumbi hospitali, liko eneo linalotwa boko mnemela lina ukubwa wa ekari mbili na ukitaka kupata hekari moja pia unaweza kukatiwa.
Bei kwa heka ni shilingi 3,500,000/=
Kama unaitaji tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom