Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, mwenye kuuza bold 9780 ambayo iko kwenye hali nzuri na haina scratches na inakaa na charge fresh niko tayari kuinunua. Offer yangu ni 380,000/= na nicheki kupitia 0753196849 we...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna m2 ana laptop nin laki3 anichek, 0659606000
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Nauza imac yangu, pamoja na vifaa vifwatavyo magic mouse original apple speakers Apple wireless Keyboard Specs: HDD 1TB 3.5Ghz 4GB of RAM SOLD! Fast!...wont last long! +255 756 412 337
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mi ni asili ya tanga na
0 Reactions
2 Replies
2K Views
biblia na Quran za kusikiliza(audio Bible and audio kuran) za kiswahili na English. Pia tuna vitabu vingi vya akina dan Brown, robert kiyosaki, ben carson, napoleon hill, dale carnegie, n.k...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji Toyota Townace wapi naweza pata na bei kwa yoyote alienae tuwasiliane ani pm
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Nahitaji line ya Tigo pesa mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0655710466
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza samahani wana jammi forum kwa kutumia lugha mchanganyo kwa tangazo langu lililopita linalohusiana na ili naombeni furusa nyingine ya kujieleza vizuri Nafanya biashara ya kusambaza mazao ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Killzone 2 Ratchet & Clank Metal Gear Solid:Guns Of Patriots +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
788 Views
kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
New Sites Galena percent : 86:88 63 KM From Dodoma Municipality more information call +255 713 388499 +255 767 388499
0 Reactions
0 Replies
737 Views
DVD Player used inauzwa Remote yake imepotea, inafanya kazi vizuri tuu bado nzima ina cable zake na kila kitu inauzwa 90,000 Tuu... +255 756 412 337
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Natafuta sana nozzle za gari; .spacio old model .Four cylinders Zinapatikana wapi na bei gani ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tv
Natafuta tv used ya shs.30 elf aina yoyote aliimrad ni nzima ni pm kama ipo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Waungwana natafuta kidi-frizer kidogo cha kuweza kutunza kama kilo 100 za samaki used mwenye nacho anaitafute haraka nipo dsm maeneo ya kimara baruti...!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza pikipiki san lg ina miezi 6 tangu inunuliwe wasiliana nami kwa e-mail ifuatayo Ayoub76@mocospace.com bei ni 1,450,000 Niko Kaliua, Urambo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam wana- jamii. Kama kuna mtu yeyote kati yenu anajua/amesikia juu ya wawekezaji wa madini (Dhahabu) waliopo Handeni au wanaohitji maeneo ya dhahabu Handeni, tafadhari naomba ,mnijuze. Nina...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Two bedrooms and a sitting room.Self-container.A walk of 200metres from Wazo tarmac road toward the area.Price 40million. Contact:0754 856277
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…