jchris
Senior Member
- Aug 6, 2013
- 125
- 41
Kwanza samahani wana jammi forum kwa kutumia lugha mchanganyo kwa tangazo langu lililopita linalohusiana na ili naombeni furusa nyingine ya kujieleza vizuri
Nafanya biashara ya kusambaza mazao ya kilimo kama viazi, mchele, , maindi kutoka kwa wakulima na kuleta mikoa ambayo hayapatikani ayo mazao kama dar es salaam , pwani,morogoro
Naitaji wawekezaji ili kuweza kuikuza biashara yangu na kuweza kutengeneza campuni ifikapo mwezi wa kwanza 2014
Faida ya mwekezaji anapata asilimia 15% ya fedha anayowekeza kwa mwezi
Mkataba ni kuanzia miezi 3 na kuendelea apo mwekezaji anaweza kuchukua fedha yake aliyowekeza au kuendelea nasi baada ya muda wa mkataba kuishi
Kiwango cha chini cha kuwekeza ni 100,000 Tshs na cha juu n 4,000,000 Tshs
- Mfano faidi ya asilimia 15 ya laki 3 ni 45,000 Tshs kwa mwezi
Unavyoweka fedha nyingi ndoo faida yako inaongezeka lakini kwa sasa tutapokea kiwango cha juu cha kuwekeza milion 4 za kitanzania ifikapo mwezi wa kwanza 2014 ndoo kutaongeneza kiwango cha juu cha kuwekeza
Kabla ya kuwekeza kwenye biashara yetu sharti tujuane kwanza na kuwekeana mkataba kuwa utawekeza kwa muda gani
Tunapatikana dar es salaam ,bunju B mtaa wa contena magenge ya zamani
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami, mimi ndoo mumiliki wa biashara hii
Christian Mgalla
0713239001
Email: lauchris2008@gmail.com