Nina 250000 nataka laptop used

Nina 250000 nataka laptop used

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,328
Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.
 
una ndoto za abunuasi, nisawa na kusubiri gari la kwenda mkoan barabar ya njiro we subiri tuu utapata.
 
Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.

Huwezi pata hata iweje, upate kitu cha saa5 standby, ha ha haa hiyo duo cell (battery pekee) tu 250,000 hugusi
 
Battery angalau masaa matano!!!!!
Ikiwa standby au? Humu siku hizi mbona kuna vichekesho!

Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.
 
Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.

mkuu hata hizo za dili za nairobi hapo town kwa bei hiyo ni utata hiyo bei nunua betri ya kukaa masaa matano then next time tafuta mashine yenyewe
 
Nikweli wengi wetu tunatamani sana kumiliki hizi laptop tatizo pesa kaka minaona hiyo laki mbili na nusu ukiifanyia hata bizness mwisho utapata hiyo mashine ya ukweli inaanzia laki 5
 
jamani huyo anashida na NOKIA YA TOCHI. Mbona mnakuwa wagumu kumuelewa.
 
Huezi kupata kaka,,.....yaan badili mawazo,,....ongeza dau angalau lak 5 uende dukani,,...kwa bei iyo utasota sanaaaaaaa,,...dah pole yako jaman
 
Kanunue Battery ya gari then hela inayobaki kanunue kimeo chochote utakuwa umetimiza azma yako, utakuja dhurika kwa kupenda shortcuts
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom