Tv

Tv

mtweve jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
232
Reaction score
13
Natafuta tv used ya shs.30 elf aina yoyote aliimrad ni nzima ni pm kama ipo
 
Tv ya tsh 30elfu?
Au unasemea Tv ya kwenye simu ya mchina au ni mfano wa Tv au tv iliyopo dustbin!
 
labda anamaani ka-tv kadogo kabisa ambako unaweza kuweka hata kwenye mfuko wa sh 50 sijui ni inch ngapi kale!
 
Poa wakuu ntapata kwa bei gani ndogo kabisa
 
ipo yenye saket ya kichina inchi 30" sony iko poa nakupa kwa 1kl
 
Poa survivour ngoja njichange kiasi nlichokuwanacho then nkutafute
 
Tv ya tsh 30elfu?
Au unasemea Tv ya kwenye simu ya mchina au ni mfano wa Tv au tv iliyopo dustbin!

Acheni masihara nyie, TV ya 30K ATAPATA!..kuna member mmoja humu JF alikuwa anatafuta ya bei hiyohiyo, na alipata inchi 14 nzuri tu! Kuna watu wanamitv ya kizamani ndani hawajui wayapeleke wapi. Vuta subira mtweve jr utapata hiyo tv kwa bei hiyo au hata less, tena unawezakupata hata bure, tatizo haujasema uko wapi.
 
Last edited by a moderator:
Yap cyberteq ngoja niwe na subra napatikana kigogo ccm
 
Acheni masihara nyie, TV ya 30K ATAPATA!..kuna member mmoja humu JF alikuwa anatafuta ya bei hiyohiyo, na alipata inchi 14 nzuri tu! Kuna watu wanamitv ya kizamani ndani hawajui wayapeleke wapi. Vuta subira mtweve jr utapata hiyo tv kwa bei hiyo au hata less, tena unawezakupata hata bure, tatizo haujasema uko wapi.
mkuuuu uemtiah MIE NNyo sony hapa mende tu wanachezea haina kazi
 
14" dukani ni 70 kwhyo unaweza ukabahatisha kwa hyo 30,unataka kuweka saloon? Au ndio unaanza maisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom