Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni)...
BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM
Habari wana JamiiForums,
Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa...
KARIBU KWA OFFERS HIZI
1-Fully System ya 300Watts kwa Tsh 1,535,000/=
Solar Panels 300Watts - 450,000/=
Battery 200Ah- 580,000/=
Control Charge 20A- 55,000/=
Inveter 750Watts -250,000/=
Panels...
Habari Wana jukwaa kwa majina naitwa Abdallah Bakari Niko kisemvule pwani ninatafuta kazi ya ukonda wa daladala au Lori au kazi yeyote ya halali elimu yangu ni kidato Cha nne. Ninaomba jamani...
Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale;
Location: Masaki, Msasani, Mikocheni.
•Mikocheni Warioba: On main rd(Mwai kibaki)...
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale;
Location: Kigamboni.
•Kimbiji: 41km from ferry, 3km inside from Kimbiji rd, 18.3...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ninahitaji kioo cha tecno c8 used kwa mtu mwenye nacho plz ni PM tufanye biashara.
Location nilipo: Kagera
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya...
Heshima kwenu wakuu!!
Sikuwahi kufikri hata siku Moja kuwa jukwaa hili linaweza kuwa na nguvu kiasi hiki
Mara nyingi nilikuwa nikisoma na kuweka comment zangu Kwa mazoea mpaka siku nilipoamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.