Heshima zenu wakuu,nahitaji fuel/petrol station ya mtu binafsi kwa ajili ya kukodisha! Maeneo ni dar es salaam,isiwe ya kampuni kubwa kama oilcom gapco puma etc! Mengine waweza ni pm. Asanteni
kwa anaehitaji gari toyota i.s.t nyeupe,milleage 88,000km,cc 1490,automatic, engine VVT..i,nauza 11mil bei inapungua ni nzuri katika utumiaji wa mafuta 15km/litre.
Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...
I am an interdisciplinary researcher in the field of Natural resource Management especially the coastal ecosystems. I have extensive experience in quantitative and qualitative research...
viwanja viwili vinauzwa vipo Mbande Dar es
salaam. Kimoja kinauzwa mil 6 na kingine kinauzwa
mil 3.5 vyote vipo kwenye mtaa.. cha mil 6 kina
ukubwa wa futi 60 kwa 50 na cha mil 3.5 kina futi...
kiwanja kinauzwa mbande dar es salaam kipo
karibu kabisa na uwanja wa mpira wa azam fc.
Kiwanja kipo sehemu nzuri kina ukubwa wa futi 60
kwa 50 bei milion tatu na nusu kwa
mawasiliano.0656 25...
Wana Jf Mzee wangu anauza kiwanja maeneo ya Kibaha kwa Mathias kinaukubwa wa heka 1 kasoro hivi bei ni Million 15 lakini maongezi yapo. Hatutaki madalali wasialiana na mzee mwenyewe kwa simu no...