Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama mjasiriamali na mtaalamu wa huu ujuzi wa usindikaji wa vyakula, kwa miaka takribani kumi nimewasaidia watengenezaji wa wine na pombe kali kwa kuwapa formula kamili na rahisi za kutengeneza...
0 Reactions
5 Replies
607 Views
Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo. Je, madalali wa Dar wanasomeka? Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi. Naomba muongozo.
1 Reactions
1 Replies
807 Views
Anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutengeneza pikipiki aina zote. Awe mkazi wa Dar es salaama itakuwa vzuri kama atatokea maeneoa kazribu na ilipo office. Location ni Makumbusho karibu...
1 Reactions
0 Replies
444 Views
Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na...
2 Reactions
3 Replies
754 Views
LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1 TB SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro... Bei LAKI 9. CHARGE HOURS 6 HRS...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Nauza laptop HP elitebook 8460w HDD 500 GB RAM 4GB (slot 2) CORE i7 2.7 ghz , 2.7ghz(turbo boost up to 3.4ghz) Windows 10 pro Graphics AMD firepro 1Gb 🔋 3hrs Bei 400, 000/= Very clean
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wadau nahitaji kuchukua coaster used ili niingie kwa biashara ya usafirishaji kwa mtu mwenye uzoefu katika biashara hii naomba kufahamu bei za coaster na mchanganuo mzima katika biashara hii?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Puff kuanzia 1600-5000 Ina flavour zaid ya 10 Call 0652472486
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme. Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia...
2 Reactions
2 Replies
573 Views
Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni 0699-22-79-42 Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
0 Reactions
5 Replies
789 Views
Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Bajaji hii hapa Haina shida yoyote bei 3.6m Fixed Usije na Fundi Location Temeke 0652659775
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hilux ya chini hiyo nzuri sana Engine 1rz Fuel Pertol Manual Transmission Floor gia (kirungu) Gari nzuri sana ya kufugwa Namba AUE kama chases Bei 17.5M tu Gari imetunzwa sana Haijarudiwa rangi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Lpf builders tumebobra kwa ujenzi wa swimming pool kwa matumizi ya hotel na nyumbani karibu tukuhudumie 07112206032 0782719980
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ya Toyota Land Cruiser Lexus HDJ81 ya Mwaka 1996 - Inayo Turbo na Inatumia Diesel, Mmiliki wa Kwanza, Hali Nzuri. Asking Price: TZS 28,000,000 Muhtasari: Hapa ni gari ya Toyota Land...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Academic Doctors Consultants Are You Stacked Somewhere in Your Master or PhD Degree Dissertation/Thesis Work? Academic Doctors Consultants Are Here for You! Dealers in all kinds of academic...
1 Reactions
1 Replies
713 Views
Mimi ni mpenzi wa Mercedes Benz (hasa hasa class C) zile ngumu Mjerumani Original. Kwa wale wanaozijua nataka 2020.... series! Kama unalo njooo pm tufanye biashara
2 Reactions
5 Replies
852 Views
HABARI, NAUZA VITU VYANGU VYOTE NI VIPYA KWA TSHS. 3.5M, CAMERA MPYA YA CANON 90D, LENS, U-GRIP PRO GIMBAL, REFLECTOR KUBWA, MEMORY CARD PAMOJA STAND YA CAMERA. VIMEFANYA KAZ MOJA TU. KWA...
2 Reactions
0 Replies
617 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…