Natafuta Tender ya Kutengeneza Kadi za Harusi na Uchapishaji

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari zenu marafiki

Natafuta tender za kutengeneza Kadi za Harusi kama vile: Mwalikko kadi, sendoff kadi, kitchen party, kipaimara
kumunio, kadi za Seasonal na pia natengeneza keki kwa shughuli mbalimbali

Vile vile kwa yule anayehitaji KUCHAPIWA Magazine, Booklets, Brochures, Fliers, Stickers, Business cards Books,
Kuprintiwa Tshirts , Caps kwa Screen Printing, Transfer, au Computerize pamoja kufanya decoration kwenye mahafali, sikukuu au function yeyote bei zangu ni nafuu sana

Unakaribishwa

Hii ni sample

table decoration.jpg
 
Vitambulisho vya PVC mnatengeneza kwa bei gani mama? Pcs 20 kwa mfano.....
 
Habari zenu marafiki

Natafuta tender za kutengeneza Kadi za Harusi kama vile: Mwalikko kadi, sendoff kadi, kitchen party, kipaimara
kumunio, kadi za Seasonal na pia natengeneza keki kwa shughuli mbalimbali

Vile vile kwa yule anayehitaji KUCHAPIWA Magazine, Booklets, Brochures, Fliers, Stickers, Business cards Books,
Kuprintiwa Tshirts , Caps kwa Screen Printing, Transfer, au Computerize pamoja kufanya decoration kwenye mahafali, sikukuu au function yeyote bei zangu ni nafuu sana

Unakaribishwa

Hii ni sample

View attachment 120442

seasonal ndio nini aisee mkuu..
 
Humu watu wanaweka matangazo ukiuliza swali unajibiwa baada ya wiki! Mi nataka tishet nyeusi yenye picha ya zitto kabwe kifuani na maneno chini(team zitto kabwe) mtanichaji bei gani?
 
tunaprint kuanzia 100pcs hivyo kama unataka niPM.
Humu watu wanaweka matangazo ukiuliza swali unajibiwa baada ya wiki! Mi nataka tishet nyeusi yenye picha ya zitto kabwe kifuani na maneno chini(team zitto kabwe) mtanichaji bei gani?
 
ni aina mojawapo za kadi ambazo zinatolewa katika kipindi cha sikukuu za serikali, xmass, pasaka, idd, au zzile za kiofisi na znyinginezo umeshanielewa hapo bestito?
seasonal ndio nini aisee mkuu..
 
unataka Tshirt ngapi kwani ssisi tunaanzia na 100pcs na niPM nitakutumia bei yake

Humu watu wanaweka matangazo ukiuliza swali unajibiwa baada ya wiki! Mi nataka tishet nyeusi yenye picha ya zitto kabwe kifuani na maneno chini(team zitto kabwe) mtanichaji bei gani?
 
Hiyo mbona sio sample ya kadi? au nina illusions siku hizi? Mi naona decoratioin ya meza sijaona kadi ya harusi... Ungeweka sample pics tuone ya hizo kadi, bronchure, material ya paper na kadhalika uonekane mtaalam kidogo
 
Back
Top Bottom