Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naitaji sony experial x10i ilio in gud condition kwa bei nzur
0 Reactions
0 Replies
737 Views
iwe na vitu vifuatavyo RAM2gb,procesor2ghz dvdrom hdd isipungue 160,iwe inakaa na chaj
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata mtu anayeuza aina hzo za simu. Bei iwe nzuri.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf,natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala ,sittingroom,choo na jiko bajeti yangu ni 250000 tu.kwa anayefahamu zilipo naomba anijulishe
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Toyota altezza iliyo katika hali nzuri inauzwa kwa bei ya ml tisa tuu kwa mawasiliano 0767547228
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wanabodi.! Nafanya Installation na Configuration ya Game ya PES2014 kwa bei nafuu sana.Game iko poa sana na ina wachezaji wapya wa timu mbalimbali Ulaya kulingana na usajili mpya.Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Nyumba yenye vyumba viwil vya kulala (master bedroom) na chumba kingine cha kawaida, public toilet, jiko, sebule nzuri, madirisha ya alluminium, dari la gypsum, floor ya tiles, baraza zipo mbili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear JF Members, am looking for a godown of about 400 or 450 sqrmeter to rent,, it should be in DAR at an accessible area...and the rent should be chargeable in TSH......If any of you guys have...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Wadau naihitaji godown lenye ukubwa wa 400 au 450 sqrmeter kwa ajili ya kupanga, liwe DAR na sehemu inayofikika kirahisi.....na malipo yawe kwa TSH.&nbsp;&nbsp; MWENYE MPANGO ANIPM<BR><BR>ASANTE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natafuta frem ya biashara isiyozid laki moja mahali tajwa, kama kuna mtu anaweza nipa msaada zaid ya namna ya kupata hiyo frem ntashukuru sana Mzaha si mahala pake. Moods naombeni mwache...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Wanajamvi wenzangu, nduguyenu napata mkate kwa hii biashara ya kuagiza magari Japan/Uk na kuuza Tanzania. nina experience ya miaka mingi kwasasa nmeamua niwe nachangia jukwaa la biashara kwa...
0 Reactions
68 Replies
23K Views
Sherehe hazinogi bila burudani,na burudani haikamiliki bila mashairi mwananaa..kama unahitaj shairi kwa ajiri ya sherehe kama kipaimara,komunio ya kwanza,ndoa,birthday,ubatizo etc unaweza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu natafuta laptop yenye specification zifuatazo Hard disk walau 500 Gb Ram 2 procesor 2 Ghz webcome kwa bei tajwa hapo juu maongezi ya kuongeza dau yanaweza fanyika pia...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Viwanja vinauzwa eneo la bunju A. eneo liko bunju A, Ni kama km 1 kutoka barabara ya bagamoyo.Kama unaenda na daladala unashukia Bunju CCM au Bunju Polis. Viko karibu kabisa na Chuo kubwa...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Habari za leo wakuu. Nyumba ya bedroom mbili au tatu inayojitegemea inahitajika kwa kupangisha arusha mjini. Niko open to negotiation lakini haswa nahitaji katika viwango nilivyo vitaja. Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mashine ya kuangushia na kuchania magogo ipo inauzwa aina ya mashine ni husqvarna 279 chainsaw KWA BEI YA LAKI NANE TU... kwa mawasiliano 0714-414020 0719-819227
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza,mtu mwenye smartphone inayotumia Os ya android aniambie au hata Nokia symbian s60 anijuze maana napata shida hata kuingia Jf
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau ambae anajua wapi naweza pata mashine ya kujazia ASALI kama inavyoonekana kwenye picha iwe USED au MPYA naomba tuwasiliane kwa simu namba 0769129351 au 0683370065. Natanguliza shukrani za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza nyumba ipo ununio karibu kabisa na stand ya daladala bei 90M Call on 0762 854564 0r 0732 928530
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…