Buguruniiiiiiiiiiiiiiiii

Buguruniiiiiiiiiiiiiiiii

Msema yote

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
448
Reaction score
301
Wakuu natafuta frem ya biashara isiyozid laki moja mahali tajwa, kama kuna mtu anaweza nipa msaada zaid ya namna ya kupata hiyo frem ntashukuru sana

Mzaha si mahala pake.
Moods naombeni mwache hii ili nipate msaada wa wadau, msiitoe wala kuhamisha, asanteni wakuu mnakaribishwa kuchangia
 
Back
Top Bottom